Sauti yake Snura tunayo kwenye hit single ‘majanga‘
ambayo ndio ilimtoa, sasa kwenye mfululizo wa nyimbo zake anazoendelea
kuzitoa amefikia hapa kwenye kuitoa hii chura ambayo video yake ni official lakini yeye humo ndani haonekani.. ukishaitazama sio mbaya ukiacha na comment yako ili akipita ajue watu wake wamesemaje.
ULIKOSA KUTAZAMA JINSI VIDEO YA CHURA ILIVYOTENGENEZWA? BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment