Ila katika hali hiyo yeye ndiyo alikuwa ananishutumu mimi kuwa nina michepuko na yeye kujiona yupo innocent kama malaika. Lakini juzi kati hivi, katika pita pita yangu nikgundakuna mwanaume yupo nae busy ofisi kwake.
Nilipomuuliza akaribu kutoa utetezi ambao sikuridhika nao, nikaanza kumfutilia kimyakimya kenye simu zake na email zake. Siku ya siku nikkutana na chats kwenye whatsap baina yake na huyo mwanaume na mke wangu akimtumia huyo mwanume picha zake akiwa mtupu kigia kwenye kitanda chetu.
Hebu nipeni ushauri, maana hatua ya kwanza niliyoichukua ni kumrudisha kwa wakati natafakari maamuzi ya kudumu. Mpaka sasa yupo kwa mjomba wake.
Advice please guys WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment