Young Jeezy amerudi tena kuziweka headlines za burudani wiki hii, baada ya kuachia video mbili, November 13 na Gold Bottles, rapper huyo kutoka Marekani amerudi tena na video ya kichupa chake kipya inayopatikana kwenye mixtape yake Politically Correct.
Wimbo unaitwa ‘Streetz’ na video yake ipo hewani tayari, na kwa sasa rapper Young Jeezy anajianda kwa tour yake ya siku 6 itakayoanza tarehe 12 November Atlanta, Marekani… kama video ya Young Jeezy bado haijakufikia basi karibu uicheki video hiyo hapa chini.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment