“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.
Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane kuja kuona wala kufanya kijiwe cha kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha hisia yz watu kuwa inawezekana mrembo huyo atakuwa anaujauzito hata kama picha hiyo siyo yake na hiyo anajaribu kudokeza watu kiana.
Lakini pia wapo waliochukulia ni utani tu, huku wengine wakimpongeza kwa kujaaliwa kupata ujauzito.
Lulu hakuibuka kujibu komenti nying za watu ambao zilikuwa zikihoji kana ni kweli au la.
Muda utazungumza, tuvute subra... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment