Baadhi ya Comments
Mrekebisha Tabia:
@rayc1982 acha vijembe mpenzi.... 1. Focus kurudi kwenye muziki 2. Endelea kutumia dawa na kuwasaidia walioathirika na madawa ya kulevya 3. Acha kuuza mikorogo, ngozi yako imeharibika (huo ndio ukweli), be careful huo mkorogo usiharibu na ngozi za wengine 4. Fuatilia maisha yako! Ukifanya haya utafanikiwa na milango yako itafunguliwa.
Hongera @zamaradimketema kwa kupata mtoto mwingine wa kike....una bahati sana mdada Mungu akupe nini tena? Watoto ni baraka wa kwanza wa kiume wa pili wa kike...bahati iliyoje halafu una maisha yako unajitegemea na una kazi yako nzuri... unabarikiwa, Kwanini watu wasione wivu???WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment