Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha: Zari the Bosslady Atua Kwenye ‘Ikulu’ ya Diamond, Atupia Picha ya Paja Akiwa Kitandani kwa Diamond

Picha: Zari the Bosslady Atua Kwenye ‘Ikulu’ ya Diamond, Atupia Picha ya Paja Akiwa Kitandani kwa Diamond

First lady, Zari the Bosslady ametua rasmi kwenye nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo yeye mwenyewe anaiita ‘state house’
Zari amepost picha hii kwenye Instagram akiwa kwenye chumba cha kulala kwenye nyumba mpya ya Diamond

Mama kijacho huyo amepost picha akiwa kwenye chumba cha Diamond kilichopo kwenye nyumba hiyo iliyopambwa kwa vitu vingi vya thamani.

Gypsum ya chumba hicho kipo customised kwa jina lake.

“Gotta love my current view,” aliandika Zari kwenye picha inayoonesha gypsum hiyoWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips