Instagram
bonyeza hiyo link hapo chini ku-download instagram katika simu yako.
http://instagram.en.uptodown.com/android
...
Nchi Kumi Zinazoongoza Kwa Kuwa na Wasichana Warembo Barani Afrika

Afrika ni miongoni mwa Bara lililobarikiwa tamaduni, lugha na watu tofauti wenye tabia zinazoshabihiana ikiwamo ukarimu.
Miongoni mwa watu wa Bara hili wapo wasichana warembo wa kuvutia tofauti
na wengine, katika hili kuna mjadala mpana huku baadhi wakikubali kuwa
kuna watu wanaovutia kuliko wengine huku baadhi yao wakidai kuwa uzuri,
urembo wa mtu unatafsiriwa kulingana na anayemtizama.
Lakini katika hili tukubali tukatae miongoni mwa wanawake wa Afrika bila
kujali wanatizamwa na nani ni wazuri na warembo na wanavutia kuliko
wengine.
Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika,
mwaka jana Tanzania ilishika...
Labels:
UDAKU
Wasira Atumia Saa 2 Kupinga Ushindi wa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya Mahakama Kuu Mwanza

Shahidi wa tatu katika kesi namba moja ya mwaka 2015 ya kupinga matokeo
ya ubunge wa jimbo la Bunda Mjini, Stephen Wasira leo amepanda katika
kizimba cha mahakama kuu kanda ya Mwanza, inayoketi mjini Musoma kutoa
utetezi wake, huku ulinzi mkali wa askari polisi wenye silaha za moto,
mabomu ya machozi na mbwa ukiwa umeimarishwa.
Wasira ambaye alitumia muda wa saa 2 na dakika 26 kutoa ushahidi wake
huku akihojiwa na wakili wa mlalamikiwa wa kwanza Ester Bulaya,
ameiambia mahakama kuu chini ya jaji Noel Chocha kwamba uchaguzi katika
jimbo la Bunda mjini ulikuwa haramu kutokana na kugubikwa na ukiukwaji
wa sheria, taratibu na kanuni kulikofanywa...
Labels:
Esther Bulaya,
SIASA
Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Kwako

Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya
wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe
tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni
rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo
ukiyazingatia yatakufanya wewe uwe na mnato kwa mwanamke yeyote yule.
1. Uwezo wako wa nishati
Nishati inaweza kuwa na mkusanyiko wa vitu kadhaa, kama vile kuhisi kwa
vipepeo ndani ya tumbo, kusuka, wasiwasi ama vitu tofauti kabisa. Kwa
mtizamo wa moja kwa moja, nishati inahusiana na yote yale ambayo
yanamfanya mwanamke kujiskia raha wakati anapokuona ama kutaka kuutumia...
Labels:
MAPENZI
Rais Magufuli Aokoa Bilioni 1.2/- Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

JITIHADA za Rais John Magufuli katika kubana matumizi yasiyo ya lazima
serikalini, ambazo alizihamishia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC), ikiwamo kuzuia safari zisizo za lazima katika jumuiya hiyo,
zimewezesha kuokoa zaidi ya Sh bilioni 1.2.
Rais Magufuli ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na aliahidi
kuchukua hatua za kubana matumizi yasiyo ya lazima na ikibidi kutumbua
watendaji wa EAC, baada ya kuchaguliwa kushika wadhifa huo Machi mwaka
huu jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa EAC, Balozi Liberat Mfumukeko alisema jana jijini hapa
kuwa jitihada za kubana matumizi yasiyo ya lazima, zimeokoa Dola za
Marekani 588,768 (zaidi...
Labels:
John Magufuli
Alikiba aeleza kwanini aliimba nyimbo chache Mombasa
October
10, 2016 Mtu wangu wa nguvu nakusogezea hii Video ya alichokisema
msanii Alikiba kuhusu kuperform kwa muda mfupi kwenye tamasha la Mombasa Rocks lililofanyika weekend iliyopita nchini Kenya.
Kufahamu alichokisema Alikiba wakati akizungumza na Mtangazaji wa Radio Citizen ya Kenya, William Tuva “Mzazi” Tazama video hii.
ULIPITWA NA SHOW YA ALIKIBA KWENYE CONCERT YA MOMBASA? NIMEKUWEKEA HAPA
...
Labels:
Ali Kiba
Maofisa Uwanja wa Ndege Julius Nyerere Waliojichanganya Wakati Rais Alipofanya Ziara waondolewa

Baadhi ya maofisa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) waliokuwa kwenye mashine za ukaguzi Rais John Magufuli alipofanya
ziara ya ghafla uwanjani hapo wameondolewa kwenye kitengo hicho.
Majina ya maofisa hao yamepelekwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ili wachukuliwe hatua.
Waziri wa wizara hiyo, Profesa Makame Mbarawa ameambiwa na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Taa), George Sambuli
kuwa maofisa hao wameondolewa uwanjani hapo.
Sambuli amesema: “Wale watumishi waliokuwapo pale tulichukua hatua za
awali za kuwahamisha,pia tuliandika taarifa na kuipeleka wizarani
tunasubiri...
Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 23 2016
May 23 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi wawili wa serikali, taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi leo imeeleza kuwa Rais wa Magufuli amemteua Gerson J. Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Kabla ya
Uteuzi huo, Gerson J. Mdemu alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri
(Cabinet Clerk), Mdemu anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Tulia Ackson
ambaye amechuguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Profesa Longinus...
Labels:
John Magufuli,
SIASA
Maamuzi ya mwisho ya Man United kuhusu ajira ya Louis van Gaal yametangazwa leo May 23 2016
Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu ajira ya kocha wa Man United Louis van Gaal kuripotiwa kuwa mashakani, huku uongozi wa Man United ukiwa umekaa kimya pasipo kukanusha au kukubali habari hizo, leo May 23 2016 taarifa rasmi zimetoka.
Taarifa rasmi iliyoripotiwa na dailymail.co.uk na BBC Sports inaeleza maamuzi ya klabu hiyo yamefikiwa mchana wa leo na kuamua kumfuta kazi Louis van Gaal, kocha huyo wa kiholanzi anapoteza kazi ikiwa ni siku mbili zimepita toka ashinde Kombe la FA na klabu hiyo.
Van Gaal amefukuzwa lakini ameripotiwa Jose Mourinho kujiandaa kuchukua nafasi yake muda...
Labels:
MICHEZO
Nape Nnauye Ashindwa Kuhutubia Kwenye Tamasha la Muziki Jijini Mwanza Kutokana na Zomeazomea Ya Wananchi Wanaotaka Bunge Lionyeshwe Live

Mzimu wa kuzuia shughuli za Bunge kuonyeshwa moja kwa moja na vituo vya
televisheni uliopachikwa jina la ‘Bunge Live’, umeendelea kumwandama
Waziri wa Habari, Nape Nnauye baada ya juzi kupokewa kwa kelele kiasi
cha kushindwa kuhutubia wapenzi wa muziki jijini Mwanza.
Nape alitangaza uamuzi wa kusitisha kurusha moja kwa moja baadhi ya
shughuli za Bunge, akisema Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
linashindwa kumudu gharama, lakini wabunge, hasa kutoka vyama vya
upinzani wamepinga hatua hiyo wakisema inawanyima wananchi haki yao ya
kikatiba ya kupata habari kuhusu chombo chao cha kutunga sheria.
Lakini Serikali imeshikilia msimamo wake,...
Labels:
Nape Nnauye