Harmonize
ni mwimbaji mwingine bongoflevani na jina lake lilianza kutajwa sana
kwenye radio kutokana na single yake ya ‘Aiyola’ akiwa ni mmoja wa
vijana walioshikwa mkono na Diamond Platnumz na studio yake ambayo
inawasaidia wenye vipaji vyao.
Baada ya kuisikiliza sana kwenye Radio,
Aiyola inapatikana kwenye video ambayo ndio hii hapa chini
nimekusogezea, ukishamaliza kuitazama usiache kuandika comment yako ili
akipita baadae ajue watu wake wanasema nini.
UMEIONAJE VIDEO? TUACHIE COMMENT YAKO. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment