NI STAA GANI HUYU?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua staa mmoja wa kike nchini anaejihusisha na ugizaji wa filamu za kibongo ameachia picha kimitego mtandai na kuzusha mjadala mzito. Habari za uhaika zilizoifikia mtandao huu zinasema kuwa picha hii imevujishwa makusudi mtandaoni ili wadau wapande dau, hata hivyo licha ya mtandao huu kuchunguza kwa kina ili kumtambua staa huyu lakini mambo yamekuwa magumu kutokana na kuficha uso wake
0 comments:
Post a Comment