Kwa mujibu wa chanzo kilichozungumza na Amani ni kuwa, ‘muuza nyago’ huyo kwenye video za Bongo Fleva haoni shida ya kujichora tatuu hizo na kwamba ndiyo furaha yake na kumbukumbu pindi anapokuwa nao.
“Kwa sasa anatoka na Young D lakini mkono wake mmoja una tatuu imeandikwa Side, sehemu nyingine Young D na sehemu nyingine ameandika majina ya wanaume wengine kibao aliotembea nao,” kilisema chanzo.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment