|
Wema Sepetu |
Wema Sepetu Amezua Timbwili jipya huko Arusha Tripple A baada ya yeye na
Wapambe wake Kutaka kuingia kwenye show aliyokuwa anafanya Ali Kiba
katika Ukumbi Huo ...Inasemekana Wema Sepetu na Wapambe wake baaada ya
kumaliza Sherehe yao waliamua kwenye Show ya Kiba hapo Tripple A lakini
walinzi waliwazuia mlangoni kwa kile wanachoamini kuwa Wema hakuja pale
kwa nia njema bali kutafuta Kiki kwa maana anajua Ali Kiba ni Adui wa
Diamond hivyo yeye kwenda kwenye Show ya Ali Kiba ni choko choko na
Huenda angepiga mapicha na Ali Kiba na kupost Mtandaoni ili kumuumiza
Diamond kama alivyofanya kwa Ivan aliyekuwa mume wa Zari huko South
Afrika....
Je unaona walinzi wa Ali Kiba walikuwa Sahihi Kumzuia Wema Sepetu Kuingia Kwenye Show ya Kiba?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment