|
Ana Makinda |
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume
ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), ameongeza kuwa hawezi kufanyia kazi taarifa
za kwenye vyombo vya habari, badala yake anasubiri taarifa za kiofisi
kutoka NEC. Kwa upande wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa, amesema bado
hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo
chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa
Nini maoni yako katika hilo?
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment