Juma Jux |
Mwanmuziki Jux ambae umaarufu wake si wa kiivyo katika muziki anaonekana kumpoteza kabisa Diamond kutokana na Hekalu analomalizia kujenga lenye ghorofa moja...
Jumba hilo lenye hadhi ya kistaa lina studio ya kurekodi, Gym kwa ajili ya mazoezi na Bwawa la Kuogelea ndani.... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment