Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume

Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume

Akihojiwa na Mtandao wa GPL Msanii Lungi Ameulizwa Maswali Mbali mbali , ambayo yamenishtua kidogo ni haya mawili hapa chini ambayo amekiri yote kuwahi kuhusika nayo

Ijumaa: Wafanyabiashara wengi hasa wanaokwenda nchi hizo ulizotaja wanadaiwa kufanya biashara ya ‘sembe’. Wewe ushawahi kubeba mzigo?

Lungi: Ukweli nimewahi kubeba unga na kuwa mfanyabiashara mzuri tu lakini nimeacha kwani niligundua ni biashara mbaya sana na naomba Mungu anisamehe.

Ijumaa: Unatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye tabia ya kuwaunganisha wenzako kwa wanaume, hili nalo likoje?

Lungi: Ilikuwa zamani lakini sasa nimeacha, nimeona ni kazi isiyo na manufaa kwangu.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips