Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Showing posts with label Mr II Sugu. Show all posts
Showing posts with label Mr II Sugu. Show all posts

Mbunge Sugu Achague Kuongea Kiswahili au Kiingereza Bungeni Anatuchanganya

Huyu mbunge Sugu akichangia hoja huwa anachanganya kiswahili na kiingereza ili aonekane msomi.Wakati hamna kitu.Ukimsikiliza tu anavyoongea unajua ana elimu ya kuunga unga akitafuta aonekane naye yumo yumo.

Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya na kutukera. 3

Mr. Blue kasikitishwa na wimbo wa ‘Freedom’ alioutoa Mr. II Sugu

Msanii wa Bongefleva ambaye jina lake lilianza kushine kwenye game ya muziki wa Bongofleva toka akiwa na umri mdogo Mr. Blue, amerudi kwenye headlines baada ya kupost kupitia account yake ya instagram na kuelezea hisia zake kuhusu wimbo mpya alioutoa Mr. II Sugu kuwa ni wimbo ambao alimshirikisha na anashangaa kuona mambo yapo tofauti.
sugu
Katika post ya instagram Mr. Blue aliandika Ndugu zangu nipeni ushauri kwa hili niliona nikae kimya ila limeniuma sana kwa kweli ..!! SUGU namuheshimu km kaka yangu kimuziki na kiumri pia ..sasa kuna nyimbo nilimshirikisha inaitwa “Freedom” tulifanya pale kwa makochali na hiyo ndo picha ya ushahidi na nyimbo ipo youtube kwa wasioisikia..sasa kinachonishangaza leo kuona ameitoa verse yangu na kuweka verse zake mbili na kaishoot mpaka video na nyimbo imekuwa yake tena bila kunitaarifu mimi mwenyewe au ridhaa yoyote kutoka kwangu je hii ni haki kweli??? Maana mtu ukiongea unaonekana unatafuta kiki au sijui nn…mi imeniuma kwa kweli jamani je mnanishauri nini ndugu zangu….????”
3

VideoMPYA: Mr II Sugu katimiza ahadi… video mpya aliyotuahidi ndio hii imetoka

Mbunge wa Mbeya mjini ambaye ni msanii wa kitambo wa hiphop Tanzania Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) aliahidi wiki kadhaa zilizopita kwamba ataachia video yake mpya baada ya kimya kirefu kwenye bongofleva, hii inaitwa ‘Freedom‘ ikiwa ni kazi ya mikono ya MJ Records.
Ndani wameonekana mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Roma Mkatoliki, Producer Master J na Profesa Jay ambapo Mr. II kaiwakilisha Mbeya vizuri kwa kuvaa jezi ya Mbeya City Football Club pamoja na kofia yenye chata ya Mbeya, ukishaitazama hii video hapa chini usiache kunipatia comment yako mtu wangu
3
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips