Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya na kutukera. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Mr II Sugu
» Mbunge Sugu Achague Kuongea Kiswahili au Kiingereza Bungeni Anatuchanganya
Mbunge Sugu Achague Kuongea Kiswahili au Kiingereza Bungeni Anatuchanganya
Huyu mbunge Sugu akichangia hoja huwa anachanganya kiswahili na
kiingereza ili aonekane msomi.Wakati hamna kitu.Ukimsikiliza tu
anavyoongea unajua ana elimu ya kuunga unga akitafuta aonekane naye yumo
yumo.
Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya na kutukera. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya na kutukera. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment