Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , , , » VideoMPYA: Mr II Sugu katimiza ahadi… video mpya aliyotuahidi ndio hii imetoka

VideoMPYA: Mr II Sugu katimiza ahadi… video mpya aliyotuahidi ndio hii imetoka

Mbunge wa Mbeya mjini ambaye ni msanii wa kitambo wa hiphop Tanzania Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) aliahidi wiki kadhaa zilizopita kwamba ataachia video yake mpya baada ya kimya kirefu kwenye bongofleva, hii inaitwa ‘Freedom‘ ikiwa ni kazi ya mikono ya MJ Records.
Ndani wameonekana mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Roma Mkatoliki, Producer Master J na Profesa Jay ambapo Mr. II kaiwakilisha Mbeya vizuri kwa kuvaa jezi ya Mbeya City Football Club pamoja na kofia yenye chata ya Mbeya, ukishaitazama hii video hapa chini usiache kunipatia comment yako mtu wangu
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips