Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Showing posts with label Irene Uwoya. Show all posts
Showing posts with label Irene Uwoya. Show all posts

Uzushi Kuwa Irene Uwoya Amefariki Wasababisha Usumbufu Mkubwa Kwenye Familia

Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake.

Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB.

“Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB kwenye Instagram.

“Habari hii ya uongo ilileta shida kubwa katika familia yake na watu wa karibu. Leo tena asubuhi mwingine kasema nimepata ajali nakusababisha tafrani kubwa,” aliongeza.

“Napenda kuwaambia mashabiki wetu kuwa habari hizo ni za uongo. Tuko fiti kwa damu ya Yesu na tunavunja roho hizo za kunenea watu mabaya ktk jina la Yesu..amen.”3

Irene Uwoya Yupo Hatarini Sana Kupoteza Ubunge Viti Maalum

Muigizaji wa bongo movies Irene Uwoya aliyejiunga na ccm na kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum tabora yupo hatarini kupoteza cheo chake cha ubunge wa viti maalum na huenda wabunge viti maalum wengi sana wa ccm nao wataachia ngazi.

Mbunge viti maalum aliechaguliwa kwa sasa ataingia mjengoni mpaka ifikapo oktoba baad ya kampeni na uchaguzi ambapo kila
jimbo litapata mbunge(sio wa viti maalum) wake ambapo hawa wabunge wa viti maalum waliochaguliwa saizi italazimu idadi yao ilingane sawa na idadi ya wabunge wawakilishi wa majimbo wa vyama vyao, mfano kwa ccm mwaka 2010 kabla ya kampeni walikuwa na wabunge viti maalum 92 ila baada ya kampeni na uchaguzi ilipata wabunge 60, kutokana na kupoteza majimbo mengi hivyo ikabidi idadi ya wabunge wa ccm wa viti maalum ipungue toka 92 hadi 60, na wakati wao ccm waliandaa wabunge 92 wa viti maalum wakijua watapata majimbo mengi , matokeo yake ikabidi chama kiwapunguze hadi 60 na baada ya hapo nafas zilizobsaki 22 za wabunge viti maalum wakapewa chadema.

Kwa sasa ni wazi kabisa tembo yupo shambani ambayeaneyejifanya hamuoni aende mahututi, kwa upepo huu wa siasa
ni wazi kabisa ukawa, act na vyama vingine watachukua majimbo mengi sana kwenye nafasi za ubunge(sio ule wa viti maalum), hivy basi endapo CCM itapata wabunge kwenye majimbo machache asilimia hiyo ya wabunge itabidi ilingane na wabungewataopitishwa kwenda kuwakilisha majimbo kwa nafasi za viti maalum na kukilazimu chama kukata wabunge viti maalum wawe wachache
3

Ni kweli Irene Uwoya ana mimba? Msami kazungumza hapa na Soudy Brown…#Uheard (Audio)

Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.

Awali alikanusha taarifa lakini baadaye akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli  basi ni ya kwake huku akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli.

Isikilize hapa mtu wangu..
  3

Irene Uwoya Pregnant for Jaguar From Kenya ? See What She Posted

Grapevine has it that, actress Irene Uwoya is pregnant with her second child and the man behind it is non other than Kenyan artist from Kenya Jaguar. A source close to Uwoya told us that Uwoya has all signs of a pregnant woman and she wants to have two more children.

"Uwoya is pregnant for Jaguar, she wants to have more kids, they love one another truly, next week she might go to Kenya to visit her man" said the source

We failed to reach Uwoya, however, through her Instagram account the actress posted something which matches with what the source said. Uwoya posted the photo below touching her stomach and asked her fans to name their 5 best names for female kids, which tells us she is expecting a baby girl.

However this is still a gossip not confirmed by the two but we will keep you updated if anything comes up. And we all know few months ago Uwoya and Jaguar put it clear they are interested in each other and they want to live together.
3
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips