I am speechless Wiki mbili nzima zilizopita mara kwa mara tumekutana Mliman City na Tripple 7 Club mara ya mwisho tulikuwa wote Jumamosi iliyopita mke wake alikuwa anaumwa sana tukaenda wote Baraka Plaza tuka kaa masaa mengi kumsubiria mke wake na leo asubuhi saa tatu.
Tumeongea sana kwenye simu kuhusu viwanjani leo akaniahidi kunipigia back in One Hour twende wapi leo 1 hour ago nimepigiwa Simu kuwa amefariki ghafla Ohh my God bado I am speechless.
Ninamuombea sana mke wake na watoto katika hiki kipindi kigumu sana kwao this one really hurts Binadam tunapita tu hapa Duniani we are just weak creatures of God.
I cry for U Seky a great human being Mungu amuweke mahali pema peponi, please people lets pray for my friand WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment