Tutaendelea kuwapa Kinachojiri.... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
HABARI
» Breaking News:Polisi Wenye Silaha za Moto Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Huko Sala Sala Muda Huu
Breaking News:Polisi Wenye Silaha za Moto Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Huko Sala Sala Muda Huu
Kinachoendelea Muda huu nyumbani kwa Gwajima ni Polisi wenye silaha za
moto wameizingira nyumba ya Gwajima ..Habari tulizozipata ni kuwa Jana
Gwajima Alitakiwa aripoti Polisi na Kupeleka Hati za Mali alizo agizwa
lakini hakufanya hivyo ..Hivyo muda huu Polisi wako kwake kwa ajili ya
kumkamata lakini Mpaka sasa Gwajima amejifungia Ndani na Polisi
Wameshindwa kuingia Ndani Kwa ajili ya Kumkamata.....
Tutaendelea kuwapa Kinachojiri.... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Tutaendelea kuwapa Kinachojiri.... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:
Post a Comment