Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » Picha 4 kutoka kwenye ajali ya gari iliyoua 19 Mbeya leo.

Picha 4 kutoka kwenye ajali ya gari iliyoua 19 Mbeya leo.

ajali MbeyaAjali za Tanzania kwenye vichwa vya habari zimezidi kuongezeka, leo April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema waliofariki mpaka sasa ni 19
ajali 2
ajali 3
Ajali 4

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips