Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.
Awali alikanusha taarifa lakini baadaye akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli basi ni ya kwake huku akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli. Isikilize hapa mtu wangu.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment