Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kilichomkuta Gavana wa benki kuu Kenya baada ya kutangaza kwamba hajaoa…

Kilichomkuta Gavana wa benki kuu Kenya baada ya kutangaza kwamba hajaoa…

cbk 
Ishu ya kuoa ni uamuzi wa mtu husika kuamua ni wakati gani anaona kwake unamfaa kufanya uamuzi huo ambapo kuna hii imetokea Kenya baada ya Gavana wa benki kuu ya Kenya Patrick Ngugi Njoroge kuzua mjadala wakati wa kikao cha kamati ya bunge na kutangaza kuwa bado hajaoa ingawa umri wake ni mkubwa.
Baada ya kuulizwa na wabunge kwa nini mpaka sasa hajaoa Gavana huyo ambaye kwa mwezi analipwa mshahara wa milioni 3 za Kenya ambazo kwa Tanzania zinagonga kwenye 67737395 alisema ni chaguo lake kuwa peke yake kwa kuwa hajakiuka maadili ya jamii kwa njia yoyote ile.
Muda mfupi baada ya kuweka hadharani kutokuwa na mke baadhi ya Wanawake walimiminika kwenye mitandao ya kijamii kutaka kupata nafasi hiyo ya kuolewa na Gavana na kama ilivyoripotiwa na Citizen TV Kenya.
marr
obamaa WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips