Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Rais wa Zanzibar Dr. Shein Amtembelea na Kumjulia hali Maalim Seif Jijini Dar es Salaam

Rais wa Zanzibar Dr. Shein Amtembelea na Kumjulia hali Maalim Seif Jijini Dar es Salaam

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiambatana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala bora Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame, amemtembelea kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Shariff Hamad ambaye yuko hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mapumziko baada ya kutolewa hospitali.

Amesema afya yake inazidi kuimarika siku hadi siku. Dkt. Shein alifika hotelini hapo jana  saa mbili usiku. (Picha na Salmin Said, OMKR) WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips