akihojiwa na redio moja mmnoja wa mameneja wa Diamond,Sallam amesema kuwa huwezi kufanya kolabo na msanii kama kanye West kisa umekutana naye tu kwani kuna protokali nyingi zinabidi zifuatwe mpaka kukamilisha hilo na kuongeza kuwa kwa CV ya Diamond nafasi inaweza kupatikana.
“Unajua wenzetu hawafanyi kolabo kwa sababu umekutana naye,lazima utengeneze kuwa wewe ni nani,ukifanya naye kolabo itamsaidia nini yeye,nashukuru kwa upande wetu tuna Cv nyingi kwa hiyo nadhani itatusaidia kwa upande mwingine” alifunguka Sallam.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment