Yupo kwenye orodha ya wanamuziki
wakongwe kwenye muziki wa kizazi kipya Kenya…. wengi wanazikumbuka hits
zake kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 2000 na bado mpaka sasa hajatangaza
kuacha kuingia studio… katuletea hii single mpya ‘bonbon‘ yuko na Washington, ukimaliza kuitazama uniachie na comment akipita ajue mashabiki zake wameipokeaje.
Ulizikosa stori za mastaa wa Tanzania kwenye mtandao wa Instagram? bonyeza hii video hapa chini…
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment