TCRA imetoa miezi Sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania.
Hakiki namba yako mapema (angalia video) ukigundua simu yako ni feki ibadilishe kabla ya June 2016! Chukua hatua usisubiri.
Utaratibu huu pia utasaidia kufunga simu iliyoibiwa Au kupotea. Ukiibiwa
simu yako toa taarifa Polisi, chukua RB na toa taarifa kwa mtoa huduma
wako.
Simu itafungwa ndani ya saa 24!
Haitaweza kutumika tena!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment