Wana
watoto watatu pamoja na wana biashara kibao za pamoja, hivyo ni ngumu
kwa Zari na mume wake wake wa zamani, Ivan kupotezeana licha ya kila
mmoja kuchukua njia yake kimahusiano.
Ivan na jamaa zake wa Rich Gang wakila bata kwenye Zari All White Party
Ndio maana Ivan na mpambe wake King Lawrenc walisafiri kutoka SA na kwenda kumuunga mkono Zari ambaye Alhamis hii aliandaa party yake ya kila mwaka ya mavazi meupe tu kwenye kiota cha Guvnor kilichopo Kampala Uganda.

0 comments:
Post a Comment