Siku ya jana mkongwe wa soka duniani David Beckham alitimiza miaka 40 ya kuzaliwa na kuamua kufanya sherehe ya kumbukumbu hiyo katika mji wa Marrakech, Morocco.
Sababu ya kuuchagua mgahawa wa Amanjena Resort uliopo
Morocco kusherehekea miaka yake, umetokana na kuchagua sehemu hiyo
kurudia viapo vya ndoa yao katika eneo hilo miaka saba iliyopita.
Akiwa na familia yake pamoja na baadhi
ya marafiki zake wakiwemo waliocheza nao enzi hizo mkongwe huyo
alijumuika na kufuriji ka pamoja na katika kuhitimisha furaha yake
aliandika ujumbe wa kumshukuru mke wake Victoria Beckham kwa kumfanyia siku hiyo muhimu kwake.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment