1. Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee uliyonayo unaamua kuinywa Kiroba - Ni maamuzi magumu.
2. Huna kitanda na unaamua kuoa - Hayo pia ni maamuzi magumu.
3. Huna uwezo wa kumlisha mkeo kazi yako ni kumjaza ujauzito - Ni maamuzi magumu.
4. Shule haina waalimu unampeleka mwanao - Pia ni maamuzi magumu....
5. Daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda - Ni maamuzi magumu.
6. Unalipwa laki mbili unamhonga binti laki moja - Hayo ni maamuzi magumu.
7. Kama utasoma hapa na kushindwa kuweka maamuzi magumu unayoyajua - Utakuwa unamaamuzi magumu mnoo...!
8. Mdada unaweka brazillian ya laki saba mshahara laki 2- Hayo ni maamuzi magumuWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment