Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Taharuki: Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Lindi, Awekewa Jeneza na watu Wasiofahamika Mlangoni Kwake

Taharuki: Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Lindi, Awekewa Jeneza na watu Wasiofahamika Mlangoni Kwake

Kuna tukio limetokea katika Mkoa wa Lindi ambapo Mwalimu Mkuu wa shule moja ya msingi mkoani humo (Haikufahamika mara moja) ameamka asubuhi ya jana na kukuta jeneza limewekwa mbele ya mlango wa nyumba yake.

Wananchi wa eneo hilo nao wamepigwa na butwaa kwa tukio hilo. Taarifa zaidi zinasema Mwalimu huyo amedhamiria kuomba uhamisho wa haraka sana kutoka katika eneo hilo kwa sababu inaonekana wenyeji hawamtaki kutokana na yeye kushirikiana na serikali ya Kijiji kuwakamata wazazi wote ambao wanawaachisha shule watoto wao ili kuolewa.

Baadhi ya Waandishi waliopo mkoani humo wamesema wanafuatilia tukio hilo ingawa hadi sasa Polisi mkoani humo bado hawajathibitisha tukio hilo.

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips