Magoli ya Mkono Yameanzia Robo Fainali, Shikamoo NAPE
Niliposikia Nape anazungumzia ushindi lazima hata kwa goli la mkono, binafsi niliona kama ucheshi/comedy,lakini kwa yaliyotokea Dodoma tokea mwanzo wa mchakato wa kuteua 5 bora, tayar wao kwa wao wameanza kulalamikiana juu ya faulo wanazochezeana.Tayari Bw. Kimbisa,Nchimbi, Mama Simba washamfunga paka kengere.Watoto wa mijini wanasema WAMEKINUKISHA.Kutokana na kuendekeza dhambi ya ubaguzi kwa wenzao(Wananchi & Vyama pinzani),sasa CCM imegeuka MBWA MWITU wanatafunana wao kwa wao.Narudia tena Shikamoo NAPE.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment