Habari katika kambi ya Lowasa wakishirikiana na Zitto wanamshawishi ndugu Edward Lowasa kuhamia ACT na kundi lake na kugombea urais kupitia chama hicho.
wanaamini kuwa anawafuasi wengi na akikosa mwaka huu hatopata nafasi nyingine tena maiashani mwake kwa ushawishi alionao ndani ya jamii
More updates will follow WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment