Home »
Edward Lowassa
» Hili Ndilo KOSA Kubwa Alilofanya LOWASSA Mpaka Jina Lake KUKATWA Tano Bora...
Hili Ndilo KOSA Kubwa Alilofanya LOWASSA Mpaka Jina Lake KUKATWA Tano Bora...
Kwa Mtazamo wangu Lowassa amefanya kosa kubwa sana kutowekeza Mtaji wake kwa Wakataji wa Majina ndani ya CCM , Lowassa Aliwekeza sana kwa Watu wa Nje na mashabiki wake kiasi cha kupendwa kila kona na kusahau kuwa Wakataji wa Majina si Hao Wananchi wanaomshangilia kwa nguvu huko nje kila anapopita....Kwangu hilo ndio kosa kubwa kwa Lowassa...JE wewe Unaona ? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Edward Lowassa
0 comments:
Post a Comment