Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa gombea uteuzi..nani kamtuma???
Updates Kutoka Jamii Forums:
Hapa St. Gasper Hotel ambapo ilikuwa ni kambi ya Edward Lowassa sasa hivi zimekamatwa fedha zinazodaiwa kuandaliwa kugawiwa kwa wajumbe wa NEC.
Aliyekamatwa kageuka, anasema katumwa na MembeWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment