"Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA ilikaa kimya na ilitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus volume 2, Viwanja vya posta, licha ya kuwepo kwa malaamiko. SWALI ni, kifungu kilichotumika kumhukumu ni kuwa UCHI au ni UVUNJAJI WA MAADILI????".
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment