Home »
UDAKU
» Picha Mbali Mbali za Msichana Mwenye Umbo Matata Anayesemekana Kateuliwa Kuwa Mkuu wa Wilaya
Picha Mbali Mbali za Msichana Mwenye Umbo Matata Anayesemekana Kateuliwa Kuwa Mkuu wa Wilaya
Jana Siku Nzima Msichana huyu anayejulikana kama Nice Chande
ama @mwakalicious24 amepaishwa sana kwenye mitandao ikisemekana kuwa
Rais kamchangua kuwa Mkuu wa Wilaya ...Watu wengi waliguswa hasa
kutokana na umbo lake matata ....Bado hatujapata ukweli wa jambo hili
lakini haraka haraka nimeangalia majina ya wakuu wa Wilaya wapya sijaona
jina lake labda awe anatumia jina jingine ...Jionee Picha zaidi Hapa
Chini:
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog





0 comments:
Post a Comment