Home »
UDAKU
» Kuacha Usagaji Unaofanyika Shule za Kike, Hili ni Lingine la Kusikitisha Linalofanyika Kwenye Shule Nyingi za Boarding-Video
Kuacha Usagaji Unaofanyika Shule za Kike, Hili ni Lingine la Kusikitisha Linalofanyika Kwenye Shule Nyingi za Boarding-Video
Kuacha mambo ya usagaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa sana kwenye shule
za boarding za wasichana sasa limeibuka hili la Wanafunzi kutesana hasa
wale wa kidato cha juu kuwatesa wa kidato cha chini ..Kwenye video hii
wanafunza hawa wanampa kichapo cha mbwa mwizi mwanafunzi mwenzao huku
akiwa hana uwezo wa kujitetea...Habari tulizozipata inasemekana baada ya
video hiyo kuvuja na walimu kuiona wanafunzi kadhaa waliohusika
walifukuzwa shuleni hapa ..hii imetokea huko South Africa...Video ya
kusikitisha hii hapa chini:
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:
Post a Comment