Davido
amefanya vizuri sana kupitia industry ya muziki Afrika hasa nchini
kwake Nigeria na ni mmoja wa wasanii wadogo ambaye amejipatia umaarufu
mkubwa kupitia zake zake.
Orezi ambaye moja ya nyimbo iliyomtambulisha ni ‘Shoki’ kaamua kurudi tena na kutoa remix ya wimbo wake ‘Shuperu’ na kuamua kumshirikisha mkali wa Nigeria Davido, ambapo Video imefanyika Nigeria chini ya Paul Gambit.
Nakukaribisha hapa kuitazama.
0 comments:
Post a Comment