Dudu amesema hayo alipoongea na Enewz ya EATV na kuongeza kuwa mpaka sasa kinachochelewesha collabo kati yao, ni mtindo wa muziki wa TAKEU ambao Nice anaufanya.
“Unajua naweza kuingia studio kufanya ngoma na Nice endapo atabadilika na tukafanya rekodi yenye mahadhi mengine kutokana na msimamo wangu mimi siwezi kunengua hata siku moja,” amesema. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment