Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii....
JE MWENZAGU UMEYASIKIA HAYO?
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment