Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wimbi Kubwa la Wanawake Wengi Kuwa na Watoto Bila Kuwa na Baba wa Mtoto

Wimbi Kubwa la Wanawake Wengi Kuwa na Watoto Bila Kuwa na Baba wa Mtoto

Kumekuwepo na wimbi kubwa kwa hawa dada zetu, kuwa na watoto bila mume.Ukimuuliza anakwambia tumeachana na hawakotayari kuweka wazi sana.

Sasa mimi nashindwa kuelewa tatizo ni sisi wanaume, au ni hawa dada zetu?

Na je mwanaume inakuweje mpaka unafikia hatua ya kumwachia watoto mzazi mwenzio?

Na wewe dada inakuweje uone unaweza muishi na watoto bila mume hata kama hela ya kuwalea unayo?

Yaani jaribuni kuchunguza katika wasichana kumi hapa Bongo, wenye umri 25-35 saba wana watoto na ukiuliza kuhusu baba wa mtoto, au watoto utapewa ngonjera tu!

Tatizo liko wapi? Ebu fungukeni kina dada au sababu ni sisi wanaume? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips