Tukianza kutaja List ya wasanii wanaofanya vizuri kutoka Mwanza jina la msanii Mo Music lazima liingie yani.
Hit single iliyomuweka kwenye headlines za Bongo Fleva ilikuwa ‘Basi Nenda’..
kuna maswali ambayo watu wengi huwa wanajiuliza, ikitokea staa amehit
na single ya kwanza wanajiuliza kama ataweza kurudi na nguvu ya hit
kubwa kama ambayo ilimtoa.
Audio ya single ‘Nitazoea’ tayari iko mtaani tunaisikia.. kaamua kutusogezea na video kabisa, video imefanywa na Director Adam Juma na huu ndiyo wakati wa kuicheki hapa..
0 comments:
Post a Comment