Chanzo: Radio Mazingira FM WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Chadema
» Mshindi wa Kura za Maoni CHADEMA Bunda Aliyekatwa na Nafasi yake Kupewa Ester Bulaya, Ahamia CCM
Mshindi wa Kura za Maoni CHADEMA Bunda Aliyekatwa na Nafasi yake Kupewa Ester Bulaya, Ahamia CCM
Wakuu, hatimae Pius Masului yule mshindi wa kura za maoni CHADEMA jimbo la Bunda mjini amehamia CCM akidai kutoridhishwa Na maamuzi ya CC ya CHADEMA Taifa kukata jina lake na Kumpa Mshindi wa Tatu Ester Bulaya
Chanzo: Radio Mazingira FM WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Chanzo: Radio Mazingira FM WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment