Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kifo cha Tajiri Mtoto Jimmy Chazuo Gumzo Mjini

Kifo cha Tajiri Mtoto Jimmy Chazuo Gumzo Mjini

Kifo cha huyu kijana mdogo (21) aliyekuwa milionare ,kimezua gumzo ya aina yake uko instagram siku ya leo. Hakika msiba wake umewateka watu wengi mno ikiwemo mastaa wa bongo movie na bongo fleva, baadhi ya mastaa walioguswa na msiba huo ni jokate, diva, ommy dimpoz,wema sepetu, martin kadinda, young dee, bob junior na mastaa wengine kibao bila kumsahau baba angu mdogo LEMUTUZ nae aliguswa kama kawaida yake.

Chanzo cha kifo chake inasemekana ni ajali ya gari aliyoipata uko maeneo ya mbezi beach akiwa ndani ya gari lake la kifahar aina Mercedes benz , R.I.P JIMMY japokuwa sikujui

MWENYE KUJUA WASIFU WA MAREHEMU PLEASEEEE ,maana sio kwa kuvunja rekodi kiasi kile, alikuwa anafanya ishu gani mpaka awe maarufu sana especially baada ya kifo chake? maana mbea mie apa nimefeli, matajir wenzie akina lemutuz mje mtupe wasifu wa marehemu. R.IP aiseh, umeenda ukiwa mdogo sana... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips