Harakati za kura za maoni za chama cha CCM - katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Naibu Spika wa Bunge , Job Ndugai anadaiwa kumpiga mgombea mwenzake, ambaye kazimia na kukimbizwa hospitali. Habari kamili itakuijia hapo baadaye
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
HABARI
,
SIASA
» HABARI: Sasa inaonesha kuwa Uchanguzi wa October utavyokuwa Mgumu baada ya Naibu spika, Kumpiga mgombea mwenza hadi kuzimia katika Kura za maoni.
HABARI: Sasa inaonesha kuwa Uchanguzi wa October utavyokuwa Mgumu baada ya Naibu spika, Kumpiga mgombea mwenza hadi kuzimia katika Kura za maoni.
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment