Chama cha mapinduzi (CCM) kilikutana na Waandishi wa habari July 29 2015 Dar es salaam ikiwa ni siku moja tu baada ya Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kutangaza kukihama chama hicho na kuhamia CHADEMA ambayo ipo kwenye umoja wa UKAWA.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment