Esmaplatnum
"ooh mungu wangu asante kwa kunipa zawadi hii tena maana hii ni zawadi nakukabizi malaika wakoumpe makuzi salama na yenye afya tele umuepushe na kila husda za walimwengu nasema asante mwenyezi mungu kwani hakuna wa kumuomba zaidi yako wee ndio mpanga na mpangua kwako hakishindikani kitu bac nakukabizi malaika wako ukamlinde baba nasema asante sikuchoka kukuomba nilalapo nisikiapo uchungu jina lako lilikuwa mdomoni kwangu umesikia maombi yangu nasema asante " WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment