Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wamarekani weusi wamuita Jay Z mnafiki, wamshambulia kwenye Twitter!

Wamarekani weusi wamuita Jay Z mnafiki, wamshambulia kwenye Twitter!

Wamarekani weusi wamemshambulia Jay Z na kumuita mnafiki baada ya picha ya wafanyakazi wa kampuni yake ya Tidal yenye makao yake makuu nchini Norway kuonekana mtandaoni.

Tatizo la picha hiyo ni kuwa wafanyakazi wote ni wazungu licha ya hivi karibuni kuwashambulia wamarekani weusi kuwa hawaiungi mkono kampuni yake kama wafanyavyo kwa Apple, Nike na Google.

Matokeo yake kibao kimemgeukia kwa kauli kama:

“Jay tried to guilt trip us … but his staff are all white”

– “Jay does a ‘Pro-Black’ freestyle but then releases a picture of #Tidal’s all White staff.”

– “Those who complain of no blacks in white owned institutions. Well here u go Jay Z OWNS TIDAL. U going to protest?”

-“Jay ain’t hiring u n***as”

Hata hivyo Jay Z anaweza kuwa anaonewa tu kwakuwa ofisi za Tidal zipo Norway ambako watu weusi wanaweza kuwa karibu asilimia 2 tuWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips