Home »
Lemutuz
» Lemutuz Awapa Makavu Laivu Wabongo wa Hapa na wale Waishio Nchi za Nje Wenye CHUKI, WIVU, FITINA, NA HUSDA
Lemutuz Awapa Makavu Laivu Wabongo wa Hapa na wale Waishio Nchi za Nje Wenye CHUKI, WIVU, FITINA, NA HUSDA
Ok I love talking reality kwa mfano niliamua kwenda Ulaya mwenyewe
nikapigana mpaka nikaenda mipango yangu ya kwenda kwa kuogopa
isiharibike nikaifanya kwa siri sana sikumuambia hata Baba yangu mzazi
na siku moja nikaondoka na Sabena Airways enzi hizo mpaka Belgium ndio
nikawashitua Washikaji kuwa nipo MBELEZZ hahahha....wiki iliyofuata
nikaanza kusikia maneno ya kutisha na kunichafua from my very close
friends wakasema na wakaapa sitaweza kuishi Majuu hahaha nikaishia
kuishi miaka 30 na Degree 3 juu ya gademu kichwa changu walichokuwa
wanakiponda sana....ok one day baada miaka 30 majuu nikaamua kurudi home
sweet.home bongo kule majuu sikumuaga mtu walahi washikaji wangu kabisa
wabongo kule majuu walipojua nimekirudisha wakaanza matusi mazito na
mpaka my ex wife wakaapa kwamba siwezi kuishi bongo nitageuza tu
majuu..hahahah guess what nipo hapa Mwaka wa.4 sasa na wanaisoma at
Social Media kila.siku habari yangu hahahaj na thanks God nipo
vizuri.....now seriously naomba kuuliza Wabongo tuna nini hasa
kinachotusumbua mioyoni mwetu mpaka tunakuwa na CHUKI, WIVU, FITINA NA
HUSDA hivi I mean hata walioko majuu ungetegemea wamebadilika.lakini
wapi WHY TUKO HIVI na TULIFIKAJE HUKO KWENYE ROHO NYEUSI.HIVI? - le MutuzWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment